
Naibu Waziri wa Kazi Mh. Mahanga

Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Singida ambaye ni Mbunge wa zamani wa Iramba Mashariki
Ndg.Mgana Msindai ametangaza kujiuzulu wadhifa wake, kujiondoa CCM na
kujiunga na CHADEMA. Msindai ni miongoni mwa wafuasi "watiifu" wa
Mhe.Edward Lowassa. Inadaiwa wapo wenyeviti 15 wa CCM mikoa mbalimbali
watajiunga na CHADEMA, baada ya Msindai kufungua njia.

Mbunge wa Arumeru CCM Olemedeyi
0 comments Blogger 0 Facebook
Post a Comment