Kamanda wa Polisi Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime amesema saa tatu na dakika 45 asubuhi, mabehewa manne yaliacha njia na kusababisha ajali lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa.
AJALI YA TRENI DODOMA DEREVA AELEZA SABABU, PATA MAELEZO YA KINA HAPA
Kamanda wa Polisi Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime amesema saa tatu na dakika 45 asubuhi, mabehewa manne yaliacha njia na kusababisha ajali lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa.
0 comments Blogger 0 Facebook
Post a Comment