monday1
Magazeti ya August 3 2015 yako mtaani tayari na vichwa vyake vikubwa vya habari, kazi yangu ni kukusogezea zile zote kubwa kubwa zinazoweka vichwa vya habari magazetin
CCM waanguka kura za maoni, Rostam Aziz ajisalimisha kwa Magufuli, Makada wa CCM ngumi nje nje na Makongoro Mahanga ajingo’a CCM na kujiunga na CHADEMA.
Mawaziri wa 5 CCM waanguka kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge kupitia Chama hicho, wakiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe na Manaibu Waziri 4.
Kamati Kuu CHADEMA yakaa Kikao kwa siri nzito… Kuna stori pia kuhusu Yusuph Manji na Said Fella kuibuka kidedea katika kinyanganyiro cha Udiwani  katika jimbo jipya la Mbagala jijini Dar.

0 comments Blogger 0 Facebook

Post a Comment

 
Heka Heka Zangu © 2015. All Rights Reserved. Share on mfaume.com. Powered by mfaume.com
Top