KENYATA NEW VISION ABOUT TRAIN IN KENYA
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kwamba June 2016 mradi wa ujenzi wa barabara za Treni za kisasa za kusafirisha watu kwenye jiji la Nairobi utazinduliwa rasmi. Taarifa niliyoidaka kupitia mtandao wa Nation ni kwamba serikali ya Kenya inashirikiana na nchi ya Hungary kwenye ujenzi wa mradi huu ambao utafanana na ule wa Addis Ababa Ethiopia
0 comments Blogger 0 Facebook
Post a Comment