Wema amtangazia ‘za uso’ Tundu Lissu ifikapo Oktoba
Msanii maarufu wa filamu nchini, Wema Sepetu, amedai kuwa mbunge wa jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu wa CHADEMA, siku zake za ubunge zinahesabika kutoka na kampeni atayosaidiana na mgombea wa CCM wa jimbo hilo Jonathan Njau, ambayo itaiondoa CHADEMA na kulirejesha jimbo hilo CCM. Wema aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari kwenye viwanja vya ofisi ya CCM wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
0 comments Blogger 0 Facebook
Post a Comment