August 03 Katibu wa Ccm wilaya ya Iramba kayatoa matokeo ya Jimbo hilo ambapo ameanza kwa kutoa idadi ya Wanachama wa Ccm wote 59,393,Kura zilizopigwa 33,825,kura zilizoharibika 367 na kura halali ni 33,452.
Mwigulu Lameck Nchemba amepata kura 28,778,Juma Hasani Kilimba 2375,David Kitundu Jairo 2064 na Amoni Julius Gyunda 241.
KWA MATOKEO YA WILAYA ZINGINE BOFYA HAPA
0 comments Blogger 0 Facebook
Post a Comment