Ikiwa bado siku chache kufanya uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na madiwani nchini Tanzania, Rais J.K ameibuka na kusema kuwa uchaguzi mkuu mwaka 2015 utakuwa mgumu mwanguko mgumu kwa wapinzani.mh. amesema kwamba kutokana na wapinzani hao kuwa na uchu wa madaraka. Kosa kubwa walilolifanya wapinzania ni kumpokea kada mkubwa wa CCM na kumpatia nafasi ya kugombea.Wapinzani wamesahau kwamba watu hao wamejivua magamba na hali ya kuwa miili ni ileile.
0 comments Blogger 0 Facebook
Post a Comment