this is what he say before he die after half an hour
Samahani sama mke wangu, mimi ni binadamu ninaweza kufa siku yoyote ile. Huyu mtoto ambaye anaonekana kuwa ni zezeta inatokana na mimi kwenda kwa mganganga ili tuwe na mali na maisha bora, hivyo hautakiwi kumnyima chakula hata siku moja kwani kwa kufanya hivyo mali tulizonazo zote zitatoweka.Mimi naelekea kwenya duka la jumla ili nikaangalie kama kuna vitu vilivyopungua
0 comments Blogger 0 Facebook
Post a Comment