BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI JIMBO LA UKONGA,WANANCHI WAMPONGEZA JERRY SILAA NYUMBANI KWAKE.
Wananchi wa Jimbo la Ukonga wamempongeza nyumbani kwake mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea,Jerry Silaa.Silaa
aliibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL
Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na
wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake
wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi,
anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October 25.
0 comments Blogger 0 Facebook
Post a Comment