Baba huyo alikutwa na mkasa huo usiku wa kuamkia sikukuu ya idd , ambapo alirudi nyumbani usiku wa manane akiwa amelewa mbaya.Akiwa anabisha hodi nyumbani kwake, mkewe alichelewa kufungua na kuanza kutukana na mwisho akamweleza kama ameshindwa kumhudumia arudi kwa bi mdogo alikotoka
0 comments Blogger 0 Facebook
Post a Comment